kwa line ya simu hadi kuwe na mnara, kama hakuna mnara sahau.Hakuna vifaa vingine zaidi ya satellite unaweza tumia line ya simu tuu?
Unaweza kutufafanulia hii ndio inakuwaje na inatumikaje .....???satelite internet zipo kibao, unaeka dish unapata internet sema bei zinakuwa ndefu
Mkuu,wapi ntapata satelite phone.na kwa tz matumiz yake yapoje..satelite internet zipo kibao, unaeka dish unapata internet sema bei zinakuwa ndefu
cheki smart sema hawa band yao ni tofauti sio 2100 hivyo sio simu nyingi zinashika mnara wao sikumbuki vizuri ila ni 850/900,Halotel wamenisikitisha saana hili eneo lina watu wengi sana ni Mvumi wilaya ya kilosa na wamepita hapo ila hakuna Internet ukiwauliza wanakomaa ipo.
satelite phone google thuraya, ila hazina maana unless unaishi msituni na sidhani kama zina mambo mengi.Mkuu,wapi ntapata satelite phone.na kwa tz matumiz yake yapoje..
Ngoja kwanza nita check now, shukran sana chief!cheki smart sema hawa band yao ni tofauti sio 2100 hivyo sio simu nyingi zinashika mnara wao sikumbuki vizuri ila ni 850/900,
tafuta simu yenye quad band 3g cheki gsmarena simu zenye band 850 au 900 zipo nyingi tu kama huna uhakika nitajie simu zako nitakwambia kama zinazo.
cheki smart ukipata mtandao nunue modem inayokubali mtandao wao tumia. jamaa ni 20,000 tu unlimited internet kwa mwezi
umewahi kuona juu ya atm au kwenye ofisi na mashirika kuna dishi dogo dogo kama la tv?Unaweza kutufafanulia hii ndio inakuwaje na inatumikaje .....???
Asante sana,picha imenifanya nimeelewa zaidi.umewahi kuona juu ya atm au kwenye ofisi na mashirika kuna dishi dogo dogo kama la tv?
hilo ni dish la internet unaelekeza muelekeo fulani halafu linakupa internet.
hivyo badala ya data kupitia kwenye fiber au minara ya simu inapitia kwenye hilo dish.
Na masuala ya vocha vp..satelite phone google thuraya, ila hazina maana unless unaishi msituni na sidhani kama zina mambo mengi.
yap unapiga na vocha unanunua western union au kwa visa card, dakika moja ni kama 2000 au 3000 hiviNa masuala ya vocha vp..
Naweza kupga kwnd mitandao mngne km v...t..au upepotel?
Ah ah,duuh..yap unapiga na vocha unanunua western union au kwa visa card, dakika moja ni kama 2000 au 3000 hivi
yeah ila siku ukitembelea antarctica usiisahauAh ah,duuh..
Acha tu ntumie android mkuu..
Thanks
Aaah af true mkuu..yeah ila siku ukitembelea antarctica usiisahau
vsat inafanya vp kazi mdau..Tumia setelait kwa kufunga vsat ndo mbadala mkuu