wapi nitapa moderm ya zantel

wapi nitapa moderm ya zantel

kalanga

Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
79
Reaction score
69
wakuu naombeni msaada wenu sehemu ninayoweza pata moderm ya zantel kwa hapa Dar.
 
Hivi unatania au unamaanisha? Hiyo modem utaipata ofisini kwao Zantel na hata kwa mawakala wao kwa elfu thelathini tu za kitanzania.
 
last time walikua wanauza 15,000 na bundle ya unlimited ya siku 3 yenye thamani ya 10,000 unapewa bure
 
ndugu yangu nimetafuta ofisini kwao na kwa mawakala wao zimeisha kwahiyo kama kuna sehemu unajua zipo naomba unielekeze
 
wakuu naombeni msaada wenu sehemu ninayoweza pata moderm ya zantel kwa hapa Dar.

mkuu nitafute mm nipo dar ninayo siitumii nitakupa bureee kabisaa kwa heshima ya jf.
Ww garama yako ni kuja tu maeneo ya mwenge karibu na msikitini ndio napopatikana .ni pm mkuu nikupe contact zangu
 
mkuu nitafute mm nipo dar ninayo siitumii nitakupa bureee kabisaa kwa heshima ya jf.
Ww garama yako ni kuja tu maeneo ya mwenge karibu na msikitini ndio napopatikana .ni pm mkuu nikupe contact zangu
wana jf napenda kutoa shukrani zangu kwa msaada wenu,nimepata moderm ya zantel niliyo kuwa nahitaji tena bure kabisa.shukrani za dhati zimwendeye bwana LEGE.
 
wana jf napenda kutoa shukrani zangu kwa msaada wenu,nimepata moderm ya zantel niliyo kuwa nahitaji tena bure kabisa.shukrani za dhati zimwendeye bwana LEGE.

pamoja sana mkuu idum jf milele na milele.
aisifuye mvua ujue imemnyea
 
Back
Top Bottom