Nenda 24 Dj Academy ipo lifungila baada ya mlimani city, nyuma ya Dr. Toyota office. Bei zao ni laki 3 Kwa mwez na Ni kozi ya miez 2 Hadi mitatu na unapata kila kitu yaani mafunzo, practical na ukimaliza na kuhitimu unapata cheti kabisa Cha u dj ambacho unaweza kuombea nacho kazi sehem mbali mbali. Nb nilimpeleka mwanangu mwaka Jana mwishoni alivyomaliza kidato Cha nne.