Wapi nitajifunza lugha ya kiarabu?

Hapa hawajifunzi kiarabu.. In sawa na MTU akajifunze kiswahili kanisani kisa wanahubiri kiswahili
madrasa wanajifunza kiarabu, tena kuna somo kabisa la LUGHA YA KIARABU.

Ila sehemu nzuri zaidi ya kujifunzia lugha ya kiarabu ni mahala ambapo wamespecialize kufundisha kitu hiki.
 
Download hii app kwenye playstore kwa kuanzia itasaidia
1490036002853.png
 
Nenda Amana hospital kabla hujafika hospital kuna sehemu kuna bango wanafundisha kozi ya lugha ya kiarabu. Sorry silikumbuki jina. Ila hapo uhakika
Asante mkuu nitatafiti. Kama natokea Kkoo ama Buguruni?
 
Asante mkuu nitatafiti. Kama natokea Kkoo ama Buguruni?
Popote pale ila make sure unaelekea hospital ya Amana. Kituo cha daladala kinaitwa Amana. Ukishashuka kama hujawahi kufika amana hospital waulize watu barabara inayoingia hospital mita chache kabla ya hospital kushoto utaona hilo bango.
 
Back
Top Bottom