Kama upo Geita chukuq Oraimo hapo stand ya chai bora Mwanza Oraimo ni bora maana kwa Bongo option nyingine zote utazokuta za Brand kubwa kama Samsung na Huawei zinakua ni copy na fake, kikubwa Oraimo utaikuta ina QR code ingia kwenye websites yao na Scan kama ni genuine au la.
Mimi sikununua powerbank wala sina uhitaji nazo. Oraimo sijajua ubora wa bidhaa zao ila najua unazidi wa Tecno na Infinix ingawa zina parent company moja.
Ningekushauri ulizia za Xiaomi muda fulani niliziona duka moja Kariakoo kuna jamaa ana bidhaa zao. Hizi ni uhakika
Huu ni ukweli brands nyingine zote wanazotumia wabongo ni fake. Mpaka ununue kwa official dealer au mtu unayemjua vyemaKama upo Geita chukuq Oraimo hapo stand ya chai bora Mwanza Oraimo ni bora maana kwa Bongo option nyingine zote utazokuta za Brand kubwa kama Samsung na Huawei zinakua ni copy na fake, kikubwa Oraimo utaikuta ina QR code ingia kwenye websites yao na Scan kama ni genuine au la.
Ningekupa namba yake huwa anakuwa nazo. Ni genuine ila kusafirisha kuleta uko itakusumbua. Chukua OraimoAsante sana mkuu
Huu ni ukweli brands nyingine zote wanazotumia wabongo ni fake. Mpaka ununue kwa official dealer au mtu unayemjua vyema
Ningekupa namba yake huwa anakuwa nazo. Ni genuine ila kusafirisha kuleta uko itakusumbua. Chukua Oraimo
Tafuta oraimo 27000hAmWakuu natafuta Power Bank Orginal ambayo naweza kuchaji simu hata mara tatu kwa asilimia 100.
Chato??Nipo Geita mkuu
Chato??
Okay sawaLwamgasa-Geita.
Watu wamevurugwa kwenye hii nchi bhnaAmeuliza wapi anaweza kupata. Wewe unakuja na story za kuwa mwenyeji wa Geita, strange!!
Hapo tunalinganisha bidhaa ya kampuni isiyokosekana kwenye top 5 ya wauzaji wa units nyingi za simu duniani, kampuni ambayo bidhaa zake zinauzika masoko yote ulimwenguni (Xiaomi). Dhidi ya Oraimo ambao wana wateja Afrika pekee.Zenyewe ni bora kuliko oraimo mkuu
Hapo tunalinganisha bidhaa ya kampuni isiyokosekana kwenye top 5 ya wauzaji wa units nyingi za simu duniani, kampuni ambayo bidhaa zake zinauzika masoko yote ulimwenguni (Xiaomi). Dhidi ya Oraimo ambao wana wateja Afrika pekee.
Ila chukua Oraimo haitakuwa na shida
Watu wamevurugwa kwenye hii nchi bhna
Niko mwanza. Ukihitaji msaada zaidi nichekiOkay mkuu kupitia wewe nimewatafuta Instagram wapo Mwanza wananiambia power bank 27000mh kwa 85k sijui napigwa mkuu.
Niko mwanza. Ukihitaji msaada zaidi nicheki
Ingekuwa Xiaomi ya ukubwa huo bila laki kasoro huchukui. Hapo hata 75k unaweza enda nayoOkay mkuu kupitia wewe nimewatafuta Instagram wapo Mwanza wananiambia power bank 27000mh kwa 85k sijui napigwa mkuu.
Ndio bei zake mkuu ikishuka sana ni 50K! Ukitaka za kitonga zile za 25K utapata ya 10,000maHOkay mkuu kupitia wewe nimewatafuta Instagram wapo Mwanza wananiambia power bank 27000mh kwa 85k sijui napigwa mkuu.
Ingekuwa Xiaomi ya ukubwa huo bila laki kasoro huchukui. Hapo hata 75k unaweza enda nayo