Wapi nilipokosea

mkuu MUYOOL wakati huu tulionao watu wanne wewe unawaita wengi......hao mbona wachache sana..tena alikuwa anajitunza huyo......
 
Last edited by a moderator:
mkuu MUYOOL wakati huu tulionao watu wanne wewe unawaita wengi......hao mbona wachache sana..tena alikuwa anajitunza huyo......
 
Last edited by a moderator:
ushamba ndo uliokuponza,kweli mchagua nazi mwishowe hupata ko....wanaume wengi waliooa wanawake mabikra wengi ni vilio vitupu
ndo mana hata kazi nzuri anatafutwa mzoefu,mtu ambae cv imeshiba sio graduate
 
kwa mtazamo wangu kuna mahali unakosea. nako ni kama ifuatavyo.,
1. umeshirikisha watumishi wa Mungu ni vizuri sana lakini zaidi mshirikishe Rhoho Mtakatifu akufishe namna halisi ya kumjua mke wako na kukuwezesha kuishi kwa amani huku ukifurahia ndoa yako. biblia inasema, ' Enyi waume ishini na wake zenu kwa akili...'
2.usijihesabie haki kuwa wewe ni mkamilifu zaidi ya mwenzako kwa sababu tu hujawahi kushiriki ndoa kabla yake, jitahidi kujenga katika fikra zako kwamba huyo ndo mwanamke bora kwako na sahau habari ya kwamba alikuwa na mahusiano kabla yako.
 
Acha tu me nina miezi sita sasa sijapata chakula ya ndoa kisa wife anachoka sana kazini
 
nimepata msamiati/ ama niseme msemo mwingine ati "gari used halina mwendo sawa na gari jipya".......ngoja nikwafikirie mbele ya safari!
ila kuna pahala hapakuwa sawa kutoka mwanzo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…