1 1954tanu JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 1,038 Reaction score 487 Jun 17, 2016 #1 WanaJF naomba kujulishwa wapi kwa Dar nawezapata fito za dish la ft 8 la bati(sio la wavu). Aidha, nijulishwe na bei yake.
WanaJF naomba kujulishwa wapi kwa Dar nawezapata fito za dish la ft 8 la bati(sio la wavu). Aidha, nijulishwe na bei yake.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,073 Reaction score 43,524 Jun 17, 2016 #2 kwa mafundi geti wanaochomelea kama unataka custom made. au kama kununua (sina uhakika kama wanauza separate) nenda kariakoo msimbazi jengo la simba ingia ndani utakuta maduka mengi sana ya madishi na receiver
kwa mafundi geti wanaochomelea kama unataka custom made. au kama kununua (sina uhakika kama wanauza separate) nenda kariakoo msimbazi jengo la simba ingia ndani utakuta maduka mengi sana ya madishi na receiver
twatwatwa JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 2,066 Reaction score 421 Jun 17, 2016 #3 Nenda kwa fundi majiko atakutengezea au tumia nondo za mm 12 au frat baa