Nimekupata mpwa, nimeshaipata. Hizi huwa zinakuwa tofauti, hiyo winch inayonyanyua gari inajitegemea, na hiyo aligner na yenyewe unanunua separately. Nasubiri bei hapa, wakishanitumia nitakuwekea hapa mkuu.
OOH SIKUJUA kumbe inauzwa separately, ok ok Mpwa ntaomba basi bei ya kitu complete. Sorry Mpwa nisamehe sikujua bhana, ok kwahio ni aligner, zile camera, hio lifter na nini tena?