frozen Senior Member Joined Aug 12, 2010 Posts 135 Reaction score 32 Mar 26, 2012 #1 wadau habari, nataka jua wapi naweza toa copy cd ,yani kutoka kwenye master copy cd na kutengeneza copy zingine 500, mwenye kufahamu plz
wadau habari, nataka jua wapi naweza toa copy cd ,yani kutoka kwenye master copy cd na kutengeneza copy zingine 500, mwenye kufahamu plz
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,764 Mar 26, 2012 #2 hiyo cd ya mvoie, au audio?
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,856 Reaction score 1,432 Mar 27, 2012 #3 frozen said: wadau habari, nataka jua wapi naweza toa copy cd ,yani kutoka kwenye master copy cd na kutengeneza copy zingine 500, mwenye kufahamu plz Click to expand... ni cd ya kawaida au ni Dvd? upo wapi?
frozen said: wadau habari, nataka jua wapi naweza toa copy cd ,yani kutoka kwenye master copy cd na kutengeneza copy zingine 500, mwenye kufahamu plz Click to expand... ni cd ya kawaida au ni Dvd? upo wapi?
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,389 Mar 27, 2012 #4 cheki na wahindi au wachina wa kariakoo..au pale KVD makunganya street
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,872 Reaction score 97,830 Mar 27, 2012 #5 Nipeni dili masela ni PM nakutoelea kwa sh 100 kila CD. Stop piracy.
Who Cares? JF-Expert Member Joined Jul 11, 2008 Posts 3,507 Reaction score 3,378 Mar 27, 2012 #6 Mnhhhh..ni pm nikupe namba za ray na kanumba watakusaidia