Wapi naweza pata wino wa Printer ya Xerox Phaser 3124 lazer jet?

Wapi naweza pata wino wa Printer ya Xerox Phaser 3124 lazer jet?

Wakuu, mwenye kujua shop naweza pata wino wa hii printer.

Kuna wakala wa xerox along barabara ya bibititi, ukiwa unatokea CBE au Maktaba ya taifa unaelekea mwengeu unavuka traffic lights za maktaba then mbele kidogo upande wa kulia kama jengo la tatu au la nne utaona kibao kimeandikwa xerox.
 
Nenda zanzibar hotel mtaa wa zanaki kuna stationery kuna jamaa alikuwa ana tatizo kama lako alirefill na ikafanya kazi vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom