Hivi mkuu, wino wa 2206 ni bei gani?Tag location
Sawa na maboya wa stationary wanaotumia Epson, wino Og 35-46K but wanakomaa na feki za buku 5 afu printer ikiroga ufundi 200KMkuu Lakini tambua kuwa unaenda kuharibu kifaa chako, Kuna jamaa alikuwa na mashine yake, akaambiwa wino Og Ni sh 70,000 Ila feki Ni sh 35,000,mpaka naandika hapa pesa ililiwa na mashine ikawa ndo mwisho wake kufanya kazi na shughuli ikafa rasmi