Canon printer wino laki 7

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habar wadau

Hapa nahisi tunapigwa hapa ofisi kuna printer mbili zote canon iage runner 1325 IR
mimi napenda sana most of my material yawe in gard copy shida ni wino sasa unauzwa bei mbaya ivo ni lazima printer itumike kuprints only office documents

Sasa naombeni ushauri wapi naweza pata wino wa canon kwa bei nzuri original maduka mengi ya posta wezi tu
 
Watauliza picha.

9EA9B74D-9A12-4F48-A60E-C516F06AE1B0.jpeg


Na wakiuliza Tonner yake?

81CB3F66-55B5-477E-B8B8-EB41274CEF11.jpeg


Sasa tusubirie wenye stationery waje.
 
Kuna hp printer ilinunuliwa laki sita wino ulivyoisha kwenda kuulizia original zake ni laki na nusu kila moja na zipo nne.

Lakini kuna jamaa wana refill wanauza hamsini.

Nakishauri kama ni biashara yako wapo wanajaza na kariakoo zipo kibao na zinafanya vizuri ingawa wengine hawana umakini kwenye process.

Kama ni taasisi waambie tu kilichopo hao jamaa sio kuwa wezi ila kabla ya kununua hizi machine fanya kwanza analysis maana kama machine ni mpya sana na upatikanaji wa toner unakiwa gharama.
 
Niliwahi kununua printer HP Officejet Pro L7480, Printer matata sana yenye copier na scanner. Wino inatumia HP ink cartridge 88 rangi nne, ambazo zimekauka kwenye soko letu mwaka wa kumi sasa ingawa bado inapiga kazi. Anayeweza kujua mahali hizo ink zinapopatikana .... Tuwasiliane!.
 
nipe link wap nqwezq zipata izo fake na sh ngap na je output zipo poa au myeyusho
Kesho nitakupa number, kuna brand inaitwa skylink inatengeneza wino wa kila aina na haijawahi haribu printer yoyote.

Wapo makini sana lkn kama ukiweza nenda Kkoo ulizia model yako ila skylink maduka ni mengi yanauza hizo wino iwe na hp, canon, epson nk.

Jamaa wino zao bei nzuri na wapo standard.
 
Habar wadau

Hapa nahisi tunapigwa hapa ofisi kuna printer mbili zote canon iage runner 1325 IR
mimi napenda sana most of my material yawe in gard copy shida ni wino sasa unauzwa bei mbaya ivo ni lazima printer itumike kuprints only office documents

Sasa naombeni ushauri wapi naweza pata wino wa canon kwa bei nzuri original maduka mengi ya posta wezi tu
Hivi ni kama zile za Marekani wanazoprintia Dollars?
 
Ninazo cartridge hizo. Nilinunua Kwa ajili ya mashine yangu lakini imeharibika. Niliziagiza Marekani kama bado unahitaji tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom