mosesfrank
Member
- Dec 20, 2016
- 40
- 12
Nipo Mbeya ila naitaji nijekufunga mzigo dar .kaliako naitaji makasha ya simu chaji betri USB Frash memory n.kUKO WAP NA UNATAKA MZIGO TOKA WAP
Naitaji nifungie kaliakoo ila nipo mkoani .kwatyu yeyote anaye jua au anahusika na biashara hii ainisaidie ata kama wapo mnaenda China kuchukua unaweza nisaidia pia utalatibu Wa kufika uko na mawasiliano[emoji390][emoji390][emoji336][emoji336][emoji336]UKO WAP NA UNATAKA MZIGO TOKA WAP
KARIBU NDANI YA BOKSI SMS 0713055107Naitaji nifungie kaliakoo ila nipo mkoani .kwatyu yeyote anaye jua au anahusika na biashara hii ainisaidie ata kama wapo mnaenda China kuchukua unaweza nisaidia pia utalatibu Wa kufika uko na mawasiliano[emoji390][emoji390][emoji336][emoji336][emoji336]
Kama unatoka round about upande wa kushoto mtaa wa kwanza Aggrey/Msimbazi ingia hiyo road maduka yote unayoyaona yanauza hivyo vifaa ukijifanya unamuuliza mtu halaf akakuambia leta hela nisubir dukan hpa hapa atakupiga atakuletea mzigo ambao kaenda kununua cheap zaidi maduka ya hapo hapo ndani ndani huko....kuwa mjanja....kariakoo sio MwanjelwaNimemaliza kidatocha sita mkoani Mbeya wilaya ya Kyela
Lakini sikufanikiwa kupata Chuo ..nikanza kuza vifaa vya simu kama makasha chaji.n.k lakini sijajua sehemu ambapo nichimbo la bidhaa izo kwa Dar es salaam. Na mbeya.plz help 0742421338
Bei ya jumlaBei ya jumla au reja reja
Ahsante brotherKama unatoka round about upande wa kushoto mtaa wa kwanza Aggrey/Msimbazi ingia hiyo road maduka yote unayoyaona yanauza hivyo vifaa ukijifanya unamuuliza mtu halaf akakuambia leta hela nisubir dukan hpa hapa atakupiga atakuletea mzigo ambao kaenda kununua cheap zaidi maduka ya hapo hapo ndani ndani huko....kuwa mjanja....kariakoo sio Mwanjelwa
Mkuu hapa mbeya kuna sehemu wanauza bei ya hivyo vifaa bei nzuri sawa na huko karikoo na huko karikoo kubambikizwa mizigo kimeo kawaida sanaBei ya jumla
Mbeya sehemu gani kakaMkuu hapa mbeya kuna sehemu wanauza bei ya hivyo vifaa bei nzuri sawa na huko karikoo na huko karikoo kubambikizwa mizigo kimeo kawaida sana
Sehemu ziko nyingi sana ila nitakutumia jina ya baadhi ya sehemuMbeya sehemu gani kaka
Nilitaka kukutumia pm naona inagoma ni pm weweMbeya sehemu gani kaka
Oi mkuu tuma hapahapa hata sisi tunafanya hzo biashara so itapendeza endapo utatujuza wote ahsanteNilitaka kukutumia pm naona inagoma ni pm wewe