Wapi naweza pata taarifa za biashara za nje (export)

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Wadau naamini zipo bidhaa nyingi hapa Tanzania tunaweza kuexport nje,
Ni wapi hasa naweza kupata taarifa sahihi za bidhaa gani zina hitajika nje na nchi gani? nilikuwa nahisi labda wizara ya mambo ya nje anakitengo hicho.
Au ndio lazima uende balozini unapodhani wanahitaji bidhaa fulani?
 
ukimya huu unamaanisha hakuna kitu kama hii hapa bongo
Sehemu nyingi unaweza kupata hiyo information. Anzia Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Nenda Board of External Trade (siku hizi wana jina jipya ila nimelisahau. Ofisi zipo uwanja wa maonyesho ya kibiashara Kilwa Road). Tembelea hii website ya kibiashara ya East African Community (Regional Information System for Exports - Welcome to EACexport). Good luck.
 
Back
Top Bottom