Wapi naweza pata Sports Rim za mtumba

Wapi naweza pata Sports Rim za mtumba

Ortega

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
844
Reaction score
209
Wazee wapi naweza pata wapi au badilishana rims za mtumba na wauzaji. Nahitaji size 16 au 17. kama inawezekana kubadilishana nikaongeza hela sawa au kama zipo za kununua yote sawa.

Rims zangu nazotumia ni hizo hapo chini;

NB:
Ziwe za mtumba si ile mihogo ya kariakoo wazee.

kwa aliyenazo tuwasiliane kwa email: buyanza@gmail.com

1175502_456583907782992_1012206472_n.jpg
 
Maeneo ya k'koo ukitokea fire mtaa wa swahili zipo kibao shm tofauti.
 
Back
Top Bottom