Wapi naweza pata Rennet (kwa ajili ya cheese)

JZHOELO

Senior Member
Sep 20, 2011
196
355
Habari wanajamvi
Nilikuwa nahitaji msaada wa kufahamu wapi naweza kupata rennet kwaajili ya matumizi ya kutengenezea cheese (specifically aina ya mozzarella)..
Katika pita pita zangu naona nyingi zipo kweny masoko ya mtandaoni na ingawa ni rahisi kuagiza ila top up ya gharama ya usafirishaji na ushuru vinanipa kusita kuagiza nje. Kwa yeyote mwenye know how au mwenye kujua pahala naweza nunua ndani ya Tanzania yetu hii itakuwa vyema mno..

Kuna aina mbili za rennet
-animal rennet
-vegetable rennet

Na katika aina hizo bado zipo katika hali (form) mbili tofauti
-tablet (vidonge)
-liquid (maji)

Kwa yeyote mwenye msaada wa wapi naweza pata hii kitu itakuwa ni vyema.. maana siwezi amini kama Tanzania haipo kwa maana naona cheese nyingi made in Tanzania..
Natanguliza shukrani
Picha kwa msaada wa muonekano
 

Attachments

  • 1463401669350.jpg
    1463401669350.jpg
    22.5 KB · Views: 69
Back
Top Bottom