Jbst JF-Expert Member Joined Nov 29, 2020 Posts 1,981 Reaction score 4,114 Mar 15, 2023 #1 Naomba kufahamu ni sehemu gani naweza pata lyrics ya nyimbo zote za kibongo. Mfano wanyee by baba levo. Lyrics yake naweza kuipata wapi?
Naomba kufahamu ni sehemu gani naweza pata lyrics ya nyimbo zote za kibongo. Mfano wanyee by baba levo. Lyrics yake naweza kuipata wapi?
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,037 Reaction score 3,604 Mar 15, 2023 #2 Natafuta ya Kali p."tumbo joto Wewe mama kibonge wewe ,unauza gongo wewe,alafu unasema maji ya kunywa ,uongo?unabisha?unakiona mjanja wewe
Natafuta ya Kali p."tumbo joto Wewe mama kibonge wewe ,unauza gongo wewe,alafu unasema maji ya kunywa ,uongo?unabisha?unakiona mjanja wewe
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,590 Reaction score 60,795 Mar 15, 2023 #3 zwenge ndaba said: Natafuta ya Kali p."tumbo joto Wewe mama kibonge wewe ,unauza gongo wewe,alafu unasema maji ya kunywa ,uongo?unabisha?unakiona mjanja wewe Click to expand... Nilikua naimba hivi, wengine nao viwandani, wengine nao viwaselo, etc
zwenge ndaba said: Natafuta ya Kali p."tumbo joto Wewe mama kibonge wewe ,unauza gongo wewe,alafu unasema maji ya kunywa ,uongo?unabisha?unakiona mjanja wewe Click to expand... Nilikua naimba hivi, wengine nao viwandani, wengine nao viwaselo, etc