Wapi naweza pata Light corn syrup?

Wapi naweza pata Light corn syrup?

rlhaule

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
686
Reaction score
181
Hbr wana jf natafuta "light corn syrup" kwa ajili ya popcorn kwa hapa dar ni wapu Inapatikana na bei.kwa yeyote anayefahamu anijuze tafadhali.
 
Kazi yake nini.
Naweza kuwa naijua ila jina la kizungu na matumizi ndio issue.

Corn syrup is used in foods to soften texture, add volume, prevent crystallization of sugar, and enhance flavor.
 
Kazi yake nini.
Naweza kuwa naijua ila jina la kizungu na matumizi ndio issue.

Nataka kutengeneza popcorn zenye radha tofauti tofauti but kila repices ya popcorn hii corn syrup inahusika sana
 
Duhh,mie siijui,hembu tuwekee Picha.
Maana mie najua unaweka yale Mahindi maalum ya njano yale madogo,na mafuta kidogo kisha mpango mzima unabutuka tuk wenye machine.
Kumbe kuna mambo mengine kibao ya kuongeza Fleva?Duhh
Hembu tupe somo laupishi wa Popcorn
 
KaroBottles.jpg
 
Yeah ni kweli kuna ladha tofauti tofauti kuna radha ya tangawizi , caramel, pilipili , lemon etc
 
Back
Top Bottom