Asante. Mara ya mwisho nilinunua kwao mlimani city kwa 19000.Sahivi hawana.Watafute Scams Forever living product. Ila jipange kwa bei
Kuna kitu gani so special kwenye hii deodorant..?
Nadhani ni moja ya bidhaa za wale jamaa wa forever living sijui, ebu watafute hao jamaa kama kuna unaowafaham , watakusaidia.
Imani kwenu ndugu zangu.
Kwa hapa Dar wapi naweza Pata hii Deodorant na bei yake tafadhali. View attachment 1002433View attachment 1002434
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya supermarkets na maduka ya vipodozi zipo hizo deodorant jaribu kupita pita...
Kuna baadhi ya supermarkets na maduka ya vipodozi zipo hizo deodorant jaribu kupita pita...
Mimi nipo nangulukulu huku ipo sasa siwezi kukutajia Duka la huku maana uko mbali ila huku zinapatikana na pia wale wadau wa forever living products wanazo.
Huku nangulukulu zinauzwa 15 hadi 20 elfu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elfu 16 tu...Watafute Scams Forever living product. Ila jipange kwa bei
Pharmacy zote kubwa wanauza , nenda Nakiete PharmacyImani kwenu ndugu zangu.
Kwa hapa Dar wapi naweza Pata hii Deodorant na bei yake tafadhali. View attachment 1002433View attachment 1002434
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Inafanya makwapa yako yanuke zaidi.