Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,250
ndugu... Tatizo nimeongea na mahost wa bongo wanataka 15000/= Kwa mwezi, sasa huu si ulanguzi? Na hiyo 10$ Si kubwa ila payment method ndo imenizingua. Na utapeli mbele umekuwa mwingi
Kama 15,000 kwa mwezi inainclude hosting sio mbaya. Ila kwa vile ulisema hosting unayo basi fungua account ya PayPal lipia domain name mwenyewe (namecheap.com, http://www.dynadot.com) kisha unaweza kuielekeza domain hiyo kwenye website yako.
Pia kama hauna hosting na site yako haitegemei kuwa na traffic nyingi check https://www.nearlyfreespeech.net/ unalipia kutokana na matumizi kuanzia $0.25 kwa mwezi.