Wapi naweza pata binti chotara wa kihindi?

Wapi naweza pata binti chotara wa kihindi?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,360
Reaction score
11,587
Wakuu,

Nauliza tu kuwa kwa hapa Tanzania, familia zao zinapatikana sanasana maeneo au sehemu zipi mikoani?

Nawapenda sana hasa kwa mwonekano wao na ukarimu walio nao! Ukimpata ambae mzazi wake mmoja ni mtanzania au mrwanda utaenjoy sana maisha! Nimewatafuta sana pasi na mafanikio! Naishia kukutana na akina Mwajuma ndala ndefu tu [emoji26][emoji26]

Miaka kadhaa nyuma, kipindi nikiwa pre form five somewhere, niliwahi kuwa na mahusiano na mtoto pure wa kihindi, Shivan! Ilichukua wiki tatu yule mtoto kunielewa tena tu pale alipoushika mtihani wangu wa Physics Mechanics na kuikuta 92% imekolezwa kwa wino mwekundu juu upande wa kushoto wa karatasi ya juu ya kujibia! Kiukweli alikuwa romantic kuanzia nje hadi kitandani!

Mtoto analia, analia kweli! Alikuwa akiniita kwa pesa yake mwenyewe, hizi za tuma na ya kutolea alituma sana, nauli ya kurudi mpaka na pesa ya kumpindua aliitoa yeye mwenyewe! Pesa za msosi, eti code lilikuwa ni jambo la kawaida sana! Shida ilikuja pale baba yake alipofanikiwa kulifahamu hili na kuanza kunifuatilia, mtoto wa watu alitoa pesa yake na kunikabidhi ili nihame pale nilipokuwa nasomea ili nitafute kituo kingine! Hence, kutoka kwenye shule ya Private ya viwango nikaenda kwenye tapitapi la private [emoji26] Lakini bado tuliendelea kupinduka mpaka pale nilipoelekea Moshi!

Kwa kuwa binti wa kihindi pure ni mtihani mgumu kuwa naye, ndo nimekuja na wazo la kuwa na chotara wa kihindi! Maake mhindi ni mhindi tu! Naiman hawa sio costfull kiivyo, pia restrictions kutoka kwa wazazi wao sidhani kama za kiwango hicho!

Msaada jinsi ya kuwapata! Hawa wa kwetu ni wapiga vizinga tu!

beautiful-indian-girl-watching-tablet-while-lying-on-sofa-2H60DTW.jpg
 
Wakuu,
Nauliza tu kuwa kwa hapa Tanzania, familia zao zinapatikana sanasana maeneo au sehemu zipi mikoani?

Nawapenda sana hasa kwa mwonekano wao na ukarimu walio nao! Ukimpata ambae mzazi wake mmoja ni mtanzania au mrwanda utaenjoy sana maisha! Nimewatafuta sana pasi na mafanikio! Naishia kukutana na akina Mwajuma ndala ndefu tu
Wapo wengi, cha muhimu jua kuimba na kucheza nachi, utawapata wengi sana.
 
Back
Top Bottom