Wapi naweza kupata Used smart phones in Dar

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2008
Posts
281
Reaction score
67
Wanajamii naomba kufaham duka lolote dar es salaam ambalo linauza used smart phones kwa bei nzuri na genuine.

au kama umeshawahi nunua used smart phone mfano samsung galaxy S3, S4, Blackberry, Iphone etc dar haujapata nayo shida yeyote naomba unielekeze duka hilo lilipo.
 
Mkuu nikupe tu tahadhali hvi sasa ni hatari sana kununua smartphone kutoka kwa mtu usiemfahamu vizuri, technolojia imekua sana, kibongo bongo nyingi ya hizo simu ni za wizi na watu wanaweka tracking apps hazionekani hata ukifanya hard reset
Naongea kupitia uzoefu, utashangaa na roho yako unauziwa simu kisha unafuatwa na polisi ofisini au nyumbani
Ushauri wangu zipo simu nzuri tu madukani unaifungua box mwenyewe kwa bei nzuri tu
Sema bajeti yako watu watakushauri simu nzuri
 
Nilikuwa sijui hili maana Jana nusu ninunue Simu pale nje ya harbour view j mall.asante kwa taarifa
 
Acha uoga ww,,, tuliozoea second handd devcs hatutishik hata kidogo, nenda kkoo karbu na ofic za bettn pale msimbaz kuna duka linauza used smrtphne, au posta nyuma ya filling station kuna kijiduka kile cha waarabu nao wanauza hz vitu,,,, kesi. Kma huusiki yann kuogopa???

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
ahsanteni sana kwa ushauri, bajeti yangu ni si zaidi ya 150,000 kaka..kwa samsung smartphone
 
Acha uoga ww,,, tuliozoea second handd devcs hatutishik hata kidogo, nenda kkoo karbu na ofic za bettn pale msimbaz kuna duka linauza used smrtphne, au posta nyuma ya filling station kuna kijiduka kile cha waarabu nao wanauza hz vitu,,,, kesi. Kma huusiki yann kuogopa???

Sent from my iPhone using JamiiForums.uuuu
Tatiz si kuhusika au kutohusika bali muda ha manjagu watakaokupotezea ili kujieridhisha kuwa huhusiki,tena umekutwa na simu ambayo mmiliki wake halali amekabwa,bakwa au uawa!
 
Ndg umesema ukweli, wengi wetu hatujui na hatukaki kujua, tumekuwa masikio ya kufa hayasikii dawa.
 
Wanajamii naomba kufaham duka lolote dar es salaam ambalo linauza used smart phones kwa bei nzuri na genuine.

au kama umeshawahi nunua used smart phone mfano samsung galaxy S3, S4, Blackberry, Iphone etc dar haujapata nayo shida yeyote naomba unielekeze duka hilo lilipo.

Me nauza ni PM namba yako, used original from UK na zote hazijafungwa ktk mtandao wowote
 
[L QUOTE=Mr.Mak;10364208]Unauzaje aina gani ya simu[/QUOTE]

Ww unataka aina gani? Taja simu nikupe bei lkn bei ya cm original hata ka used nadhani unaijua?
 
mkuu nikupe tu tahadhali hvi sasa ni hatari sana kununua smartphone kutoka kwa mtu usiemfahamu vizuri, technolojia imekua sana, kibongo bongo nyingi ya hizo simu ni za wizi na watu wanaweka tracking apps hazionekani hata ukifanya hard reset
naongea kupitia uzoefu, utashangaa na roho yako unauziwa simu kisha unafuatwa na polisi ofisini au nyumbani
ushauri wangu zipo simu nzuri tu madukani unaifungua box mwenyewe kwa bei nzuri tu
sema bajeti yako watu watakushauri simu nzuri

mkuu imenitokea juzi iyo kitu sito sahau,ilikua note 3
 
Mkuu mimi nililetewa katika kuijaribu nikaweka line yangu kui test kama ipo ok then nikaghairi kununua
Basi kile kitendo cha kuweka line yangu tu msala ukaniangukia balaa na jamaa hata siwajui vizuri
 
Back
Top Bottom