Wapi naweza kupata Pes 2017 PC Cracked?

Shukrani wadau nimeshusha inapiga kazi vizuri. Sasa vipi kuna mwenye update ambayo inaweza kuweka team names na logo ziwe kawaida? pia update ya jezi za timu
 
Shukrani wadau nimeshusha inapiga kazi vizuri. Sasa vipi kuna mwenye update ambayo inaweza kuweka team names na logo ziwe kawaida? pia update ya jezi za timu
cheki pesedit siku zote inakuwa nazo, google pesedit pes17
 
Nna pes 16 ila haikubali controllers kAma fifa nifanyeje?
 
Pia nina fifa 14 nime update squads adi kina rashford na pogba wako man utd kama fifa 17....je ntafanyaje nipate kit updates? Nafanya hivi sababu processor hainiruusu kuchkua jipya
 
Nna pes 16 ila haikubali controllers kAma fifa nifanyeje?
inabidi kuziconfigure. weka controler yako halafu ingia kwenye pes installation folder. kuna file linaitwa settings. fungua hilo file utaona option ya controler. ingia hapo halafu chagua option ya direct input
 
Reactions: Qj_
kwa wenye mashine zenye uwezo FIFA 17 hili apa ambayo iko crack
FIFA 17 Super Deluxe Edition-FULL UNLOCKED - SKIDROW-GAMES
au FIFA.17.Super.Deluxe.Edition-FULL.UNLOCKED.torrent


Minimum Specifications:
OS: Windows 7/8.1/10 – 64-Bit
CPU: Intel Core i3-2100 @ 3.1GHz or AMD Phenom II X4 965 @ 3.4 GHz
RAM: 8GB
Hard Drive Space Required: 30.0 GB
Minimum Supported Video Cards: NVIDIA GTX 460 or AMD Radeon R7 260
DirectX: 11.0

Recommended Specifications:
OS: Windows 7/8.1/10 – 64-Bit
CPU: Intel i5-3550K @ 3.40GHz or AMD FX 8150 @ 3.6GHz
RAM: 8GB
Hard Drive Space Required: 30.0 GB
Minimum Supported Video Cards: NVIDIA GTX 660 or AMD Radeon R9 270
DirectX: 11.0
 
mbona sioni crack? sio kwamba ni unlocked tu na sio cracked?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…