Augustking
Senior Member
- May 25, 2019
- 136
- 214
Kanatosha haka mkuu ni mimi na pc tu hawa jamaa waniambia bei yao ni laki 5 kwa mwezi kisa ghorofa la kisasa floor ya 20. mimi nahitaji kitu local tu cha kawaida hata iwe ya chini kwa bei ya kizawaKaspace mbona kadogo sana mkuu
Hiyo inaonekana ni store ya kuhifadhia mifagio na madumu ila wamefosi itumike kama ofisiAisee
mbona ni lokap hiyo
hata mteja atakuwa na wasiwasi ukifunga mlango.....
Ndio kanakomfaaKaspace mbona kadogo sana mkuu
Unataka ofisi iwe mitaa ganiKanatosha haka mkuu ni mimi na pc tu hawa jamaa waniambia bei yao ni laki 5 kwa mwezi kisa ghorofa la kisasa floor ya 20. mimi nahitaji kitu local tu cha kawaida hata iwe ya chini kwa bei ya kizawa
kaka Maeneo tu yoyte ya mjini hapa dar es salaam kuanzia mwenge paka posta au ubungo paka kariakoo huko maana mimi naishi a long side morogoro roadUnataka ofisi iwe mitaa gani
Bajeti yako isivuke kiasi gani.?kaka Maeneo tu yoyte ya mjini hapa dar es salaam kuanzia mwenge paka posta au ubungo paka kariakoo huko maana mimi naishi a long side morogoro road