Saoka JF-Expert Member Joined Oct 23, 2018 Posts 468 Reaction score 682 May 2, 2024 #1 Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam.
Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam.
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,641 Reaction score 47,664 May 2, 2024 #2 Mcheki Amehlo kwanza. Yeye ndio sekta yake hiyo.
kitali JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 6,262 Reaction score 9,577 May 2, 2024 #3 Saoka said: Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam View attachment 2978634View attachment 2978635 Click to expand... Nenda Sandaland kkoo
Saoka said: Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam View attachment 2978634View attachment 2978635 Click to expand... Nenda Sandaland kkoo
MUBENDE JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 1,589 Reaction score 2,734 May 2, 2024 #4 Saoka said: Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam. View attachment 2978634View attachment 2978635 Click to expand... 0762 879060, Mushi makumbusho anavyo
Saoka said: Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam. View attachment 2978634View attachment 2978635 Click to expand... 0762 879060, Mushi makumbusho anavyo
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,095 Reaction score 69,539 May 2, 2024 #5 Nenda Kariakoo Duka La Sunderland, Niliingia Pale Nikavikuta Bei Ni Tshs 110000/= Hawapunguzi ,
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,161 Reaction score 181,286 May 2, 2024 #6 Nenda kkoo pale Sunderland, bei ni 120k. Hawapunguzi hata mia.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,697 Reaction score 15,966 May 2, 2024 #7 iyo ndula inakubalika kwa suruali yoyote,kikubwa ni rangi tu.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,697 Reaction score 15,966 May 2, 2024 #8 Kennedy said: Nenda Kariakoo Duka La Sunderland, Niliingia Pale Nikavikuta Bei Ni Tshs 110000/= Hawapunguzi , Click to expand... cocastic said: Nenda kkoo pale Sunderland, bei ni 120k. Hawapunguzi hata mia. Click to expand... 👆hii awapunguzi ni tangazo wameweka hapohapo au vipi?
Kennedy said: Nenda Kariakoo Duka La Sunderland, Niliingia Pale Nikavikuta Bei Ni Tshs 110000/= Hawapunguzi , Click to expand... cocastic said: Nenda kkoo pale Sunderland, bei ni 120k. Hawapunguzi hata mia. Click to expand... 👆hii awapunguzi ni tangazo wameweka hapohapo au vipi?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,095 Reaction score 69,539 May 2, 2024 #9 Sultan MackJoe Khalifa said: 👆hii awapunguzi ni tangazo wameweka hapohapo au vipi? Click to expand... Hata Ukishaingia Na Kuongea Na Wanaohudumia Wanakwambia Wazi Bei Na Haipungui
Sultan MackJoe Khalifa said: 👆hii awapunguzi ni tangazo wameweka hapohapo au vipi? Click to expand... Hata Ukishaingia Na Kuongea Na Wanaohudumia Wanakwambia Wazi Bei Na Haipungui
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 May 2, 2024 #10 Analyse said: Mcheki Amehlo kwanza. Yeye ndio sekta yake hiyo. Click to expand... thanks mchumba😊
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 May 2, 2024 #11 Saoka said: Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam. View attachment 2978634View attachment 2978635 Click to expand... karibu mkuu bei 110k delivery ipo kwa gharama zako ukiona huwezi hiyo pia ziko clarks na timberland za bei ya chini kidogo
Saoka said: Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam. View attachment 2978634View attachment 2978635 Click to expand... karibu mkuu bei 110k delivery ipo kwa gharama zako ukiona huwezi hiyo pia ziko clarks na timberland za bei ya chini kidogo
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 10,745 Reaction score 29,219 May 2, 2024 #12 Dah haya maisha haya. Nipo kibondo tangu juzi. Leo nimenunua same catalogue kwa sh 46. Walianza 55k. Kennedy said: Nenda Kariakoo Duka La Sunderland, Niliingia Pale Nikavikuta Bei Ni Tshs 110000/= Hawapunguzi , Click to expand...
Dah haya maisha haya. Nipo kibondo tangu juzi. Leo nimenunua same catalogue kwa sh 46. Walianza 55k. Kennedy said: Nenda Kariakoo Duka La Sunderland, Niliingia Pale Nikavikuta Bei Ni Tshs 110000/= Hawapunguzi , Click to expand...
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,095 Reaction score 69,539 May 2, 2024 #13 TAI DUME said: Dah haya maisha haya. Nipo kibondo tangu juzi. Leo nimenunua same catalogue kwa sh 46. Walianza 55k. Click to expand... Kibondo, Kigoma Tanzania Safi Sana
TAI DUME said: Dah haya maisha haya. Nipo kibondo tangu juzi. Leo nimenunua same catalogue kwa sh 46. Walianza 55k. Click to expand... Kibondo, Kigoma Tanzania Safi Sana
Cold Free JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 236 Reaction score 425 May 2, 2024 #14 TAI DUME said: Dah haya maisha haya. Nipo kibondo tangu juzi. Leo nimenunua same catalogue kwa sh 46. Walianza 55k. Click to expand... Kwa huko wamekupiga Nakala a.k.a Copy
TAI DUME said: Dah haya maisha haya. Nipo kibondo tangu juzi. Leo nimenunua same catalogue kwa sh 46. Walianza 55k. Click to expand... Kwa huko wamekupiga Nakala a.k.a Copy
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,095 Reaction score 69,539 May 2, 2024 #15 Clark's , Piere Cardina, Gucci, Robertson Upate Hizo
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 10,745 Reaction score 29,219 May 2, 2024 #16 Kennedy said: Kibondo, Kigoma Tanzania Safi Sana Click to expand... Yeah. Niliposikia iyo bei sikujiuliza mara tatu
Kennedy said: Kibondo, Kigoma Tanzania Safi Sana Click to expand... Yeah. Niliposikia iyo bei sikujiuliza mara tatu
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 10,745 Reaction score 29,219 May 2, 2024 #17 Cold Free said: Kwa huko wamekupiga Nakala a.k.a Copy Click to expand... Mshamba mmoja wewe. Kwahiyo hapo kkoo ndio unanunua vitu og? Unafeli sana
Cold Free said: Kwa huko wamekupiga Nakala a.k.a Copy Click to expand... Mshamba mmoja wewe. Kwahiyo hapo kkoo ndio unanunua vitu og? Unafeli sana
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,641 Reaction score 47,664 May 2, 2024 #18 Amehlo said: thanks mchumba😊 Click to expand... Karibu
Cold Free JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 236 Reaction score 425 May 2, 2024 #19 TAI DUME said: Mshamba mmoja wewe. Kwahiyo hapo kkoo ndio unanunua vitu og? Unafeli sana Click to expand... Kubali tu umepigwa nakala na ujipange upya!
TAI DUME said: Mshamba mmoja wewe. Kwahiyo hapo kkoo ndio unanunua vitu og? Unafeli sana Click to expand... Kubali tu umepigwa nakala na ujipange upya!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 May 3, 2024 #20 Vyaukweli sana kila la kheri ukavipate Cc Smart911