Wapi Naweza Kupata Jack Daniel Halisi?

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau naambiwa huku mtaani baadhi ya Watanzania wamekuwa wabunifu sana. Wameanza kutengeneza kinywaji hicho chenye Heshima na hadhi kubwa kwa njia za kienyeji.

Kwa Wazoefu hebu tupeni taarifa sahihi kuhusu uvumi huu. Ni Wapi tutapata kinywaji halisi na pia Ni jinsi gani ya kutambua halisi.
 
Yote chang'aaa sijui Jack nii mbwembwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadhi yenu nyinyi mathird world dwellers ni gongo tu, acheni kushadadadia vitu vilivyo nje ya uwezo wenu

tunaishi third world lakini tunauwezo wa kukuajiri na kukulipa mshahara unaolipwa huko first world, tunaishi third world lakini tunauwezo wa kuimport mpaka hao mademu wa first world wakaja hapa wakaishi kama wako first world na papuchi wakatoa day and night..
 
Mkuu punguza kuparamia na kushindilia viporo vya kande iliyochacha.

Unajua JD original wewee? Cocktails unazifaham wewe?

Third world dwellers bana?

Fanyeni kazi!
 
Mkuu punguza kuparamia na kushindilia viporo vya kande iliyochacha.

Unajua JD original wewee? Cocktails unazifaham wewe?

Third world dwellers bana?

Fanyeni kazi!
Kuna sehemu amesema anashida ya kazi? Hakuna kitu mibaya kama dharau kwa usiye mfahamu. Sidhani kama ni lazima ku-reply kila mada.
 
Naona wanywa gongo wenye hadhi tofautitofauti wakionyesha u-mwamba. Nipo hapa nawacheki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…