Wapi naweza kupata Display ya LG g flex touch screen

klorokwine

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
378
Reaction score
34
Wakuu sim yangu lg g Flex imedondoka nakuvunjika kioo, (touch screen), naomba msaada niwapi naweza pata kioo chake
Msaada tafadhali.
 
Wakuu sim yangu lg g flex imedondoka nakuvunjika kioo,(touch screen),naomba msaada niwapi naweza pata kioo chake
Msaada tafadhali.

Mkuu hiyo simu ilifanyiwa majaribio ya kupigwa risasi na ikaonesha ustahimilivu ila kuangushwa tu screen imepasuka? Ngoja waje wanao jua wapi utapata hitaji lako. Hizo simu kwa bei sasa duh!
 
Mkuu hiyo simu ilifanyiwa majaribio ya kupigwa risasi na ikaonesha ustahimilivu ila kuangushwa tu screen imepasuka?

Ngoja waje wanao jua wapi utapata hitaji lako. Hizo simu kwa bei sasa duh!

Hii technology haijakuwa tayari, ukidondosha hio simu kioo kinapasuka na test nyingi zinaonesha ni kidhaifu kuliko vya kawaida vilivyo na gorilla,
 
Namba zao za Tanzania hizi hapa wacheki.

Tanzania (AC) : 022 2114114

Tanzania (CE) : 0732 999 747
 
Hii technology haijakuwa tayari, ukidondosha hio simu kioo kinapasuka na test nyingi zinaonesha ni kidhaifu kuliko vya kawaida vilivyo na gorilla

Alaaa kumbe ilikuwa demo? Sikutambua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…