Wapi naweza kununua simu hizi...

Wapi naweza kununua simu hizi...

Imani2

Member
Joined
May 6, 2014
Posts
93
Reaction score
43
salam wakuu,

ni duka gani ARUSHA naweza kupata/kununua SAmsung galaxy s3 au s4 MPYA na original, na bei yake ni kama sh ngapi?
Mwenye kufahamu naomba unijulishe tafadhali.
 
Salaam, mimi ninayoi mpya, original s3 kutoka Marekani ipo na box yake, haijawahi kutumiwa hata siku moja, ni unlocked nitakuuzia kwa be ya $400 tuu, ukiwa upo serious inawezwa kufikishwa mpaka chuo cha ufundi Arusha.

ni duka gani ARUSHA naweza kupata/kununua SAmsung galaxy s3 au s4 MPYA na original, na bei yake ni kama sh ngapi?
Mwenye kufahamu naomba unijulishe tafadhali.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom