Wapi naweza kugawa nguo kwa wahitaji?

Wapi naweza kugawa nguo kwa wahitaji?

simakoku

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
581
Reaction score
666
wakuu naomba wanaofahamu vituo vya wahitaji ambapo naweza kugawa nguo kwao kwa wakati mmoja. Najua kuna maeneo kama makanisani ambapo naweza kupeleka, lakini nilikuwa nahitaji sehemu ambayo naweza wakuta katika eno moja au kituo cha wahitaji.

Mimi ni KE na nguo nazotaka kugawa ni za kike, na niseme tu sio mpya ila ni nguo zangu nyingi ambazo kwakweli sizivai na kuendeea kukaa nazo wakati kuna wahitaji naona kama ni dhambi. Najua vituo vya watoto ni rahisi kuvipata, ila hizi nazotaka kugawa ni za watu wazima.

Asante
 
Wasiliana na Frola Lauwo wa Nitetee foundation yuko mwanza. Ukiingia Instagram anapatiakana kwa namba zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu naomba wanaofahamu vituo vya wahitaji ambapo naweza kugawa nguo kwao kwa wakati mmoja. Najua kuna maeneo kama makanisani ambapo naweza kupeleka, lakini nilikuwa nahitaji sehemu ambayo naweza wakuta katika eno moja au kituo cha wahitaji.
Mimi ni KE na nguo nazotaka kugawa ni za kike, na niseme tu sio mpya ila ni nguo zangu nyingi ambazo kwakweli sizivai na kuendeea kukaa nazo wakati kuna wahitaji naona kama ni dhambi. Najua vituo vya watoto ni rahisi kuvipata, ila hizi nazotaka kugawa ni za watu wazima.

Asante
Upo mkoa gani mkuu
 
PELEKA BAHIROAD/ MTAA WA KITENGE DODOMA KUNA MABINTI NA WAZEE WA KIKE WANAO ISHI KTK MAZINGIRA HATARISHI ZAIDI WATAKUSHUKURU
wakuu naomba wanaofahamu vituo vya wahitaji ambapo naweza kugawa nguo kwao kwa wakati mmoja. Najua kuna maeneo kama makanisani ambapo naweza kupeleka, lakini nilikuwa nahitaji sehemu ambayo naweza wakuta katika eno moja au kituo cha wahitaji.
Mimi ni KE na nguo nazotaka kugawa ni za kike, na niseme tu sio mpya ila ni nguo zangu nyingi ambazo kwakweli sizivai na kuendeea kukaa nazo wakati kuna wahitaji naona kama ni dhambi. Najua vituo vya watoto ni rahisi kuvipata, ila hizi nazotaka kugawa ni za watu wazima.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mlta mada Kuna kituo Cha wenye Ukoma HOMBOLO DODOMA PIA WAWEZA KUWAPATIA WANA UHITAJI
 
Hongera moyo mzuri Sana na Kama haujapata Mume Mungu akupe Mume mwema,Kama hauna watoto Mungu akupe watoto wazuri.
Yaani unagusa Moyo wa Mungu kabisa wewe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAWEZA zituma ? Nikupe MAWASILIANO ya msimamizi wa wa watu hao? AU WATAKA ZIGAWA KWA WATU WAISHIO DAR TU MKUU?
waweza nipatia tu mawasiliano mkuu ili hata kama kuzisafirisha nione kama inawezekana nijipange.
 
wakuu naomba wanaofahamu vituo vya wahitaji ambapo naweza kugawa nguo kwao kwa wakati mmoja. Najua kuna maeneo kama makanisani ambapo naweza kupeleka, lakini nilikuwa nahitaji sehemu ambayo naweza wakuta katika eno moja au kituo cha wahitaji.
Mimi ni KE na nguo nazotaka kugawa ni za kike, na niseme tu sio mpya ila ni nguo zangu nyingi ambazo kwakweli sizivai na kuendeea kukaa nazo wakati kuna wahitaji naona kama ni dhambi. Najua vituo vya watoto ni rahisi kuvipata, ila hizi nazotaka kugawa ni za watu wazima.

Asante
Mapepo yako,ndiyo unataka kuwapa na wenzako?
choma moto au peleka kijijini kwenu kule wanaposhinda uchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom