Istammbul😀Ebu jaribu TAKUKURU!
Dola za Marekani zina expire date, hizo katupe.Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank wamekataa, kama kuna mtu anafahamu wapi nitabadili natanguliza shukrani zangu
Dola za Marekani zina expire date, hizo katupe.
niko usd 100 ndo yenye kuwa na shida ya kubadilisha ni ya 2003Dola za Marekani zina expire date, hizo katupe.
Kuna mtu karikoo ananunua pesa za zamani na mbovuHabari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank wamekataa, kama kuna mtu anafahamu wapi nitabadili natanguliza shukrani zangu
Sorry mkuu, huwa wanabadili kila mda gani hizo pesa, au nao ni kama sisi tu mda wowote kuna phase out.Dola za Marekani zina expire date, hizo katupe.
Alaaaa kumbe"...mtoa mada hiyo kaitupe tu"..pole sanaZishaisha muda
Wanatoa dollar kila baada ya miaka 10
Alaaaa kumbe"...mtoa mada hiyo kaitupe tu"..pole sana
ndio umuelekeze sasa", pakwenda kuzi change"Huko wapi. Hizo zinabadiliswa ila kwa bei ya chini. Unawezapata kwa bei ya 2000 hadi 2200 kewa dola moja, badala ya bei ya 2270.
ndio umuelekeze sasa", pakwenda kuzi change"
Ndiyo maana nimemuliza youko wapi. Kuna maduka mengi tu ya kubadilisha fedha yanapokea hizo za 2003
Thanks kwa msaada wakuuu nitaenda hapo Kariakoo Bazaar nitawapa mrejesho aksanteni sanaNdiyo maana nimemuliza youko wapi. Kuna maduka mengi tu ya kubadilisha fedha yanapokea hizo za 2003
Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank wamekataa, kama kuna mtu anafahamu wapi nitabadili natanguliza shukrani zangu