L ligolyser Senior Member Joined May 9, 2013 Posts 155 Reaction score 15 May 9, 2013 #1 Habari ndg,nataka kununa simu used online kama samsung note 2 na zingine,lakin cjui n website gan ambayo wanakua waaminifu na hakutokua na usumbufu au utapeli wowote ule,kwa anaejua nijuze au nipie link ntaifanyia kaz,asanten
Habari ndg,nataka kununa simu used online kama samsung note 2 na zingine,lakin cjui n website gan ambayo wanakua waaminifu na hakutokua na usumbufu au utapeli wowote ule,kwa anaejua nijuze au nipie link ntaifanyia kaz,asanten
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,604 Reaction score 4,127 May 9, 2013 #2 uki google unapata majibu,kuna amazon ila kama upo tz sijui utaratibu wake ukoje.kuna ebay,kuna gumtree.com
uki google unapata majibu,kuna amazon ila kama upo tz sijui utaratibu wake ukoje.kuna ebay,kuna gumtree.com
L ligolyser Senior Member Joined May 9, 2013 Posts 155 Reaction score 15 May 9, 2013 Thread starter #3 kisukari said: uki google unapata majibu,kuna amazon ila kama upo tz sijui utaratibu wake ukoje.kuna ebay,kuna gumtree.com Click to expand... Nipo tanzania na nataka kutoka nje bt used,ila sina uzoefu wa kuagiza vitu kutoka nje,,maelekezo mkuu
kisukari said: uki google unapata majibu,kuna amazon ila kama upo tz sijui utaratibu wake ukoje.kuna ebay,kuna gumtree.com Click to expand... Nipo tanzania na nataka kutoka nje bt used,ila sina uzoefu wa kuagiza vitu kutoka nje,,maelekezo mkuu