Wapi napata frem za miwani ya watoto kwa bei nzuri!

mwaps

Senior Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
159
Reaction score
127
Mambo vipi wadau!Napata wapi frem za miwani ya watoto kwa bei nzuri.Miwani kwaajili ya watoto wenye matatizo ya macho!0677089280
 
Kesho naenda Alfa Hospital kitengo hicho hicho kuchukua miwani ya mtoto. Nitakupigia ubonge nao.
 
Back
Top Bottom