wapi napata Battery ya laptop kwa bei nzuri?

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Posts
4,992
Reaction score
3,882
ni HP 620..nimepitapita maduka hapo posta bei yake ni 150,000/= kwa hiyo kama kuna mtu anafahamu duka ambalo wanauza bei cheap kidogo tafadhali anisaidie....ila nikapacheki
ahsanteni na Heri ya Mwaka Mpya
 
Waweza agiza online kupitia eBay.com na watakutumia kwa anuani yako ya umatumbini huku huku. Mimim huwa naagiza mpaka ma-kava ya simu.
 
mkuu usipoweza ebay njoo sokoni kisutu ulizia au wapigie simu kutoka hapa MAISHA COMPUTERS
 
Waweza agiza online kupitia eBay.com na watakutumia kwa anuani yako ya umatumbini huku huku. Mimim huwa naagiza mpaka ma-kava ya simu.
unatumiaga njia gani kuwalipa...na inachukua muda gani mzigo kufika huku umatumbini
 
Waweza agiza online kupitia eBay.com na watakutumia kwa anuani yako ya umatumbini huku huku. Mimim huwa naagiza mpaka ma-kava ya simu.

Since when mtu unaweza kununua bidhaa ebay na wakakutumia hadi huku Bongo?
 
Back
Top Bottom