Wapi napata Amazon fire hd 10 hapa bongo?

Wapi napata Amazon fire hd 10 hapa bongo?

bidhaa za amazon ni mpaka uagizishie. pia fire hd 10 ina nini special ambacho hukipati kwenye Tablet nyengine kama za samsung?
 
bidhaa za amazon ni mpaka uagizishie. pia fire hd 10 ina nini special ambacho hukipati kwenye Tablet nyengine kama za samsung?
Durability, na uwezo wa kukaa na chaji
 
sasa hivi ipo on sale kwa dola 100 tu toka bei yake ya mwanzo ya dola 150. mtumie mwl akununulie amazon itakuwa around laki 3 mpaka 3 na nusu.

ile durability na battery life hata za samsung zipo hivyo,

hii fire hd 10
-battery lake ni dogo 3830mah
-haingii line
-soc yake sio efficiency

hivyo sidhani kama ni kweli inakaa na chaji.
 
Kulingana na website yao battery life ni almost 10hours kwa random use
 
Back
Top Bottom