Big up kaka umepitia maisha magumu mno bt nakushaur msaidie baba yako kwan utazid kupata baraka kwa Mungu.
Big up kaka umepitia maisha magumu mno bt nakushaur msaidie baba yako kwan utazid kupata baraka kwa Mungu.
Its very touchn...yan hadi machozi yamenitoka nikifikiria na kujiweka kwny viatu vyako naona umepitia mengi sanaaa ila Mungu mwema bado una maisha mazuri wakati ulistruggle sana kipindi unahitaji uangalizi..NAPENDA WATU WASIOKATA TAMAA KAMA WEWE,NAKUOMBEA MKEO AKUPENDE KULIKO CHOCHOTE..kama unamsaidia unapoweza sikulaumu bado unajitahidi sana kwani yeye ndo alisababisha upitie magumu...wewe ni SUPER MAN.
Pole sana sana.Inauma sana kwa sababu shida asilimia kubwa zinahusisha baba yako kutokutunza! Inauma hata nami nina mtu wangu wa karibu ( sitamtaja kuogopa identification) anahistoria inafanana nayako. Kubwa zaidi kupoteza watu wako wa karibu including mama , Mungu wangu inauma sana! Lakini jifunze (maana ngumu) kumsamehe baba yako. Ni binadamu alikosea, itakuwa amekwishakujuta! Na mbaya zaidi mtu wa kumwangukia hayupo duniani, Hizo shida anapata kwa makosaaliyopata, amininakwambiaukirudisha moyo na kumuhudumia , utapata faraja.Endapo usingekuwa na hisia yoyote wala usingemtumia hata voucher, wala usingebother kuleta uzi huu kwamaana nyingine Unconsciously unamjali.WALIMWEUSI nashukuru kwa ushauri wako, ni kweli sijaenda kumuona, nimekuwa nikiongea nae tu kwa simu, najipanga hapa ofisini soon ntaenda kumuona!
Pole sana sana.RIP mama. Inauma sana kwa sababu shida asilimia kubwa zinahusisha baba yako kutokutunza! Inauma hata nami nina mtu wangu wa karibu ( sitamtaja kuogopa identification) anahistoria inafanana nayako. Kubwa zaidi kupoteza watu wako wa karibu including mama , Mungu wangu inauma sana! Lakini jifunze (maana ngumu) kumsamehe baba yako. Ni binadamu alikosea, itakuwa amekwishakujuta! Na mbaya zaidi mtu wa kumwangukia hayupo duniani, Hizo shida anapata kwa makosaaliyopata, amininakwambiaukirudisha moyo na kumuhudumia , utapata faraja.Endapo usingekuwa na hisia yoyote wala usingemtumia hata voucher, wala usingebother kuleta uzi huu kwamaana nyingine Unconsciously unamjali.WALIMWEUSI nashukuru kwa ushauri wako, ni kweli sijaenda kumuona, nimekuwa nikiongea nae tu kwa simu, najipanga hapa ofisini soon ntaenda kumuona!
"saidia unapoweza Mungu atakubariki,,,,na usije ukateleza mkeo ukamsaliti"
kwanza hongera kwa kujitoa maana mwingine asingeweza kusaidia hata chembe lakini naomba nikushauri umchukue mzee wako awe chini ya uangalizi wako kuliko kutuma pesa za kumuuguza akiwa mbali i mean mchukue umpeleke hospital kubwa na ya jirani na pale ulipo. TRUST ME IN CASE MUNGU AKIMUITA AKIWA KATIKA MIKONO YAKO UTABAKIA NA BARAKA AMBAZO HAKUNA ATAEZIFUTA MAISHA YAKO YOTE.