Wapi Mtambuzi??

Wapi Mtambuzi??

Paloma ndee ja town mapeasi ya miezi hii hâta ukipewa kwa kulazimisha usipokee yanaambukiza ugonjwa wa kupenda penda ovyo wanaume,
 
Last edited by a moderator:
Mpwa MANI peasi za mwezi huu serikali ya Lushoto ilipiga marufuku zisitumiwe kabisa na wanawake chini ya umri wa miaka 55, kama vp ndee ja town Paloma atuthibitishie kuwa ana umri wa miaka 56 nimletee
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha haaaaaaa
Nimecheka sana subuhi hii

aari asiku mkuu, maana niliadimika kidogo mama Ngina alinikamata weekend hii na ndiyo maana sikui9ona hii post.

Naamini hapo ni kwa watani zetu
Hahahahaaa ni kwa watani Mtambuzi
Vip hajambo mama Ngina?
Niliinasa hiyo kwenye pitapita zangu nikasema nikuulize km mkeo anamiliki huo mtaa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom