Wapi mmenionea Bishanga?

we nawe unajishaua, tangu mwaka 2012 unammiss mtu ambae hana hata wazo na wewe, na kwa taarifa tu Bishanga ameshaoa na anawatoto sasa, kwahiyo achana na mume wa watu, tafuta wako, utakuja rogwa bure!

Unamtaka
 
Last edited by a moderator:
Akaah ati mi nashaukwa! Hahaha afu shem usinifundishe matusi.
Shem nakuona unavyoshauka!
Bingwa leo karudi toka safari !
Basi parra lenu la leo balaaa!
Hata yule Pweza wa worldcup hawezi tabiri hilo game lenu , mshindi nani!
 
Bishanga rudi nyumbani banaaa! Hata ukimpeleka dokta mahakamani majibu hayawezi badilika!
 
Last edited by a moderator:
pole bestito ungejua yaliyomkuta mumeo hebu ona kipigo alichokipata
pindi aliposhuka nyerere airpot na ndumba karoti 200pcs za:hat:

I miss u Bishanga where are you you it is being a long time Bishanga where are you.
 
Hahahahaaa kweli aisee maana hakuna busara mule eboo
 
wewe kaka ndo nini kupotea kiasi hicho nakutufanya
tukutafute kila kona nchi hii maana hadi
hatukukupata ulijichimbia wapi wewe dady watu8 kakutafuta wapiiii?
au ulibanjuka kwa fastjet ungo? kama hii πŸ˜›lane:πŸ˜›lane:πŸ˜›lane:
Hahahahaaa kweli aisee maana hakuna busara mule eboo
 
Last edited by a moderator:
Yupo BUIBUI GESTI HAUSI....na guberi la kihaya
 

Arushaone i am watching you!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…