Wapi mmeanza kuisoma namba? Toa ushuhuda hapa

Mm nadhani tusiwalaumu sana wananchi maamuzi waliyafanya yakapokwa,hapa cha kulaumu ni ukimya wetu watanzania tunawekewa watu tusiowataka hata tukitumia democrasia.

Ukweli mtupu Mkuu huu ukimya utatuumiza
 
Wasimamiz wamitihani tushaisoma.namba hela hamna
 
ww nae hata serikal haijaundwa unamlalamikia maguful yy anweza kujigawa kama bacteria awepo kila
mahal,tusubir
 
Mwenge wameisoma namba leo
 
Business as usual ccm hawana jipya,tutaisoma namba
 
Morogoro line ya nanenane na maeneo mengine, umeme umekatika tarehe 16/11/2015 saa tano usiku umerudi tarehe 18/11/2015 saa 14:15 mchana ukakaa masaa kadhaa ukakatika tena. Namba tunaisoma.
 
Morogoro line ya nanenane na maeneo mengine, umeme umekatika tarehe 16/11/2015 saa tano usiku umerudi tarehe 18/11/2015 saa 14:15 mchana ukakaa masaa kadhaa ukakatika tena. Namba tunaisoma.

Na mimi nasema muisome maana hakuna namna
 
Tutaendelea kuishi kwa shida chini ya ccm kutkana na ukosefu wa elimu na uoga tulionao. Maana kwa nchi kama Kenya upumbavu kama huu usingetokea.
 
Uhaini at work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…