Jwetu wameshatangaza kuandikisha mwanafunzi darasa la kwanza elfu kumi na tano.
Kijani na gwanda wote tunaisoma namba.
Wanaoisoma namba hao wanaolialia kwenye taarifa za habari. Hutosikia Arusha au Moshi wakilia
Jana 16/11/2015 wakazi wa kurasini wameanza kuisoma namba. Nyumba zaidi ya 100 zimebomolewa kupisha uwekezaji wa bandari kavu.
Kuisoma namba ipo cku zote, kibaya zaidi kuna sehemu wanaishi kwa taabu hadi kuona shida ni sehemu ya maisha yao hivyo hawawezi ng'amua kuwa kuna shida, cha muhimu ni kuwaombea waendelee kuizoea shida hivyohivyo kwani hawana namna nyingine.
Mfano kuna sehemu watu hawapati huduma za kijamii na hilo wanalijua na kulilalamikia ila kipindi cha uchaguzi wanarudisha mtu yuleyule alioshindwa kutatua shida inayowasibu.