wapi madalali wa kilimo....

Imefika wakati na sisi wakulima tuwe kama wafanya biashara wengine,

1. Kabla ya kuingia shambani mkuu ni vizuri ukajua utamzia nani

2. Kiwango gani atanunua

3. Kwa bei gani

4. Na mashariti ya mkataba wa kukulinda wewe na yeye ni yapi,

Mkuu tumekuwa tunalima kwa kuashumu kwamba soko lipo, kwa kusikia tu kwa watu, kwa kufuata mkumbo, kwa zima moto tu, mkuu wakulima wamekuwa wamna nyanyaswa sana i;la ni kwa kujitakia, hao madalali unao watafuta ndo wa sanii namba moja,
1. Je hao madalali wanajua ghalama ulizo tumia kuzalishia hayo matikitiki?

2. Mkuu unaweza kuta hayo matikitiki na mahindi unawapa Bure na na kuwaongezea na pesa juu,

INABIDI TUBADILIKE KABISA, SAJIRI BIASHARA YAKO NA JARIBU KUTAFUTA WANUNUZI NA INGIA NAO MKATABA KWAMBA MIMI NITAKUSUPPY MATIKTIK NA BEI ITAKUWA HII, NI KISHINDWA KU SUPPY NITACHUKULIWA HATUA HIZI, NA MNUNUZI AKISHINDWA KUNUNUA ATABANWA HIVI,

- Ok by the way jaribu kuyapa thamani hayo matikitiki na mahindi, mkuu mahindi mabichi yanaweza kuapikiwa frsshi na kwenda hata kuuzwa Arusha au Kenya, wewe huoni shoprite kuna mahindi yanatoka south africa jiulize yanafika vipi huku, jaribu kufanya research mkuu, na jitahidi kuyapa thamani hayo matunda la sivyo utashangaa mtu mchomaji ndo anafaidika make yeye kayapa thamani kwa kuyachoma, au tikitiki imepewa thamani kwa kukamuliwa juice
 
Back
Top Bottom