nyie vijana badala ya kufanya kazi mnaongea tu ofisini!
anyway ni sehemu ya kuchangamshana kwa maongezi!
kama ni un inaweza kuwa hivyo ila mishahara yao wanaweka per annully,labda mdau kasoma vibaya hiyo scale
watakuwa wameandika us$ 700000 per annual ,lakini ukumbuke hawa jamaa wa international hawakati pension
Mkuu mbona kuna watu wengi wanalipwa zaidi ya mkuu wa kaya?
mbona hata yule wa Barrick Mnyalukolo anayejipanga kugombea ubunge 2015 anapata kama hizoMkuu mbona kuna watu wengi wanalipwa zaidi ya mkuu wa kaya?
This is the theory: Most guys who make big bucks in the US are the Wall Street fat cats (investment bankers, traders etc.). On average, these guys make more than seven figures (in USD). That being said, I'd expect the traders and investment bankers at DAR STOCK EXCHANGE to earn the same ridiculous $$$ or TZS just like their Wall Street counterparts. So forget about UN, WB, IMF, TIGO or VODA.
Just my thought
Mwanangu Wingu hivi leo umeamkia gongo au bangi? Maana watu wanaongelea hili wewe unachomekea lile? Kuna watu wengine bila kumtaja Slaa siku haipiti.