Mdau mpita-njia pale juu kasema hii huduma ya Paypal haipo hapa TanzaniaKama bidhaa inauzwa online Jisajili Paypal hao watachukua hela kutoka kwako supplier akituma mzigo ndio wanampatia hela.
Muulize muuzaji wako kama amejisajili Paypal kama bado mpe masharti awe member wa paypal ndio mfanye biashara.
Sasa kuna Benki.........inayoweza kufanya huduma ya Money Transfer kisha ikazi-holdSasa kuna Benki au Kamapuni yoyote ya Kifedha inayoweza kufanya huduma ya Money Transfer kisha ikazi-hold kwanza hizo hela until pande zote za mtumaji na mtumiwaji tukubaliane na tuithibitishie benki kua tumekubaliana ndio waziachie kwa upande wa receiver??
Njia ya salama ni kutumiaikazi-hold kwanza hizo hela until pande zote za mtumaji na mtumiwaji tukubaliane na tuithibitishie
Poa poa kaka, ahsante sanaKwa kifupi muuzaji atakupatia bank account mbili moja yake moja ya paypal.
Kama bidhaa inauzwa Tsh 200,000 kwenye account yake utalipa hiyo hiyo 200,000 kama utalipia kupitia paypal utalipa 220,000 . Elfu 20 ikiwa kama gharama za paypal.
Sasa ukiwa unatuma kutoka kwenye account yako bank hawatakiwi kujua ni account ya paypal au la . Wewe utajaza account # kichwani kwako ndio utajua kiwa ni ya paypal