Jamani tangu nikutane na Kidukulilo Sweden mweZi November sijamuona Tena..
Mkuu Kidukulilo umepona na Corona maana unasafiri Sana..Au upo quarantine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli nlikua naongea na mamayangu... Leo asubuhi akawa anamiss vituko vya kiduku lilo..Mama angu anapenda Sana JF.[emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja tumsubirie tajiri wetu wa kibongo, kiduku lilo aje na uzi wa jinsi alivyonusurika kupata corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise!! Kwahiyo mama huwa anaupitia ule Uzi pendwa wa kula tunda kimasihara? Vipi hamjawahi kuujadili? Samahani lakini?Kwakweli nlikua naongea na mamayangu... Leo asubuhi akawa anamiss vituko vya kiduku lilo..Mama angu anapenda Sana JF.
Kiduko na na maJeep yake na mafwedha yake
Sent using Jamii Forums mobile app
NonsenseAise!! Kwahiyo mama huwa anaupitia ule Uzi pendwa wa kula tunda kimasihara? Vipi hamjawahi kuujadili? Samahani lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama yeye hua hapitii Sana huku kabisa...lakini Anaonga post za kidukulilo..huko Habari na hoja mchanganyikoAise!! Kwahiyo mama huwa anaupitia ule Uzi pendwa wa kula tunda kimasihara? Vipi hamjawahi kuujadili? Samahani lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mamayangu alinisihi nibadili hili jina langu la JF..nimejitahidi bila mafanikio sijui watu wanawezaje... Ila haingigi huku MMU angeona post zangu angesikitika sanaNatamani kujua acc za baba, Kaka zangu, maana najua wako jf, sema nashindwa nianzaje kuwauliza maan wao hawajui km me pia npo jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mcheki max them mwandike jina unalotaka ku badili hawa mods wengine watakuchelewesha tuMimi mamayangu alinisihi nibadili hili jina langu la JF..nimejitahidi bila mafanikio sijui watu wanawezaje... Ila haingigi huku MMU angeona post zangu angesikitika sana
Sent using Jamii Forums mobile app