Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.
Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya CCM na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.
Lakini pia ana jitapa kuwa kuna maofisa usalama wa taifa (TISS) ambao uwa wana ripoti kwake na kumpa taarifa mbalimbali juu mwenendo wa serikali.
Sasa iweje Dr Slaa awe na intellijensia kubwa namna hii halafu kwenye mikutano ya chama chake yatokee matukio ya mlipuko?