Wapi inauzwa tindikali?

kiwalani karibu na kiwanda cha pepsi kwa nyuma eneo la Mtambani ambapo ipo ileeeeeeeeee ofisi ya DOWASI..........maeneo hayo utapata ile Conco.......

Kinondoni karibu na Kinondoni Muslim Sec School kuna maduka mawili yanayouza kemikali, pale shule zote wanapata hapo hapo pamoja na vifaa vya maabara. Kwa sasa ukiwa Tz tindikali imekuwa katika madawa hatari ili kununua hata pale lazima uwe na kibali cha mkemia mkuu kwa hiyo kama unahitaji haraka anzia hapo kwa mkemia mkuu masaa ya kazi, ueleze unataka kwa ajili ya nini atakupatia tu kibali. Ukitoka huko waweza kumtaarifu Kamanda Kova kwamba wewe una shule asianze kukufuatilia maana una kazi na mitihani ijayo, vinginevyo mashushuku kila mahali kwa hayo ma-kitu kwa sasa! Heko Tz yetu.
 
Bwana Mbuzi,
nakushauri ubadili mawazo kwani huko unakoelekea...utaishia pabaya.
kuna mambo mengi sana ya kufanya hata kama bado upo mtaani...hapahapa jamii forum unaweza kuomba ushauri..ila huo unaoutaka nakushauri uache!

kwa picha ya haraka tu, inaonekana hujui tindikali kwani zipo nyingi kwa kazi tofauti tofauti.
kumbuka majaribio yanayotumia tindikali hufanyika kwenye chumba maalum (maabara) chenye vifaa maalum kwa ajili hiyo na hayafanywi kwa mzaha kwani unaweza kutengeneza sumu au kitu chenye madhara makubwa kwako au kwa mazingira bila kujua. ila kama unapenda sana majaribio ya ki kemia...jiandikishe kozi za namna hiyo kama una vigezo..

mwisho,
TINDIKALI HAIUZWI KWA MTU AMBAYE HANA KIBALI/KIELELEZO CHA KUONESHA ANAKOIPELEKA
Bora umemweleza ukweli maana majaribio gani anayotaka kufanya maana kuna sulphuric acid, hydrochloric acid pia nitric acid sasa yeye anataka ipi na kama hajui anafanya majaribio gani maana in case imemwagikia kitu cha kwanza kutumia nini kuweza kui-neutrilize, akijua hili basi kweli kuna majaribio anataka kufanya maana na chemistry yangu ya Form one A kati ya tindikali mojawapo na nilizoitaja zina mtindo wa kufuata unyevunyevu yaani ukiwa unaichanganya yenyewe ndio inatakiwa uimimine kuelekea container nyingine na si container yenye mchanganyiko ndio imiminwe kuelekea kwenye hiyo acid maana itatoka yote na kufoka kwa juu mwisho wa siku inakuja machoni (bomu linamdhuru mtegaji)
 
umenikusha zamaniii nilitafuta kwa udi na uvumba tindikali.... hasira hasara always sijui sahiZi ningekuwa wapi
Ila hii kitu ukiwa nayo hata lita moja kwa wale wanaopenda kuja kuchukua vitu vya wenzao bila ruhusa usiku wa manane kwa kuvunja mlango ndo size yao maana wakati wanaanza tu unamwagia mmoja kidogo tu hata kwenye mkono akiendelea basi ni mwanamume maana sijui hata kama wanatembea na maji, wakiendelea kuvunja unachota kikombe kimoja tena unakirusha randomly kwenye kundi lote lazima watawanyike (huhitaji bastola)
 
Mkuu una ajenda ya siri najua huwezi funguka ili kutupumbaza macho
 
•Swali la kitoto mtoto kumuuliza mtoto mwenzake tunasema watoto wanacheza
•Swali la kitoto mtoto kumuuliza mtu mzima tunasema mtoto anakua
•Swali la kitoto mtu mzima kumuuliza mtu mzima mwenzake hapo kuna ulakini.
 
kama nikwania nzuri mtafute fundi maabara(lab' technician) awe wa shule au popote pale atakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom