Wapi inapatikana milango yenye design ya kisasa na tiles original? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi inapatikana milango yenye design ya kisasa na tiles original?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by cheusimangala, May 10, 2011.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wapendwa amani ya Mungu iwe juu yenu.

  Naomba kwa mwenye kufahamu anijulishe ni wapi inapouzwa milango mizuri imara na ya design za kisasa kwa Dar es salaam.
  Namaanisha milango ya mbao ya ndani.

  Vile vile kwa anayefahamu zinapopatika Tiles original nitamshukuru akinijulisha.Hata wachina wanasemaga zile za kwao ni original lkn pamoja na kuwa na marembo mazuri huwa zinachubuka baada ya mwezi mmoja hivyo nikisema 'original tiles' namaanisha original kweli hivyo anayefahamu duka la tiles original lilipo anielekeze lkn lisiwe kariakoo sbb siamini kama kariakoo kuna vitu original.

  Natanguliza shukrani zangu.
   
 2. T

  Teko JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  kwa upande wa tiles nadhani nenda CTM Nyerere road kule utapata za uhakika kabisa.pia wana duka Mwenge pale karibu na kituo cha ITV,lakini ni vizuri zaidi ukaenda kule CTM ya Nyerere road maana kule ndo kwenye duka lao kubwa zaidi!
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa upande tiles nenda Victoria pale utapata za Spain, Brazil, U.S.A, Italy.

  Ukitaka za mchina pale Gerezani k.koo za kumwaga lakini GOOD ONE wengi wanazisifia zinadumu

  Upande wa Milango nenda pale TAZARA opp. na RTD mbele kuna duka la furniture kwa nyuma kule ndo milango na madirisha.
   
 4. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  asante,ubarikiwe
   
 5. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  asante Fidel,baraka zikumiminikie
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ukitaka za kuchakachua usisite kunipa deal hilo.
   
 7. T

  Teko JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2011
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Amina,nawe pia ubarikiwe sana!
   
 8. D

  Danniair JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ok. ingia mtaa wa india/morogoro. Ukitokea PPF house ni mkono wa kushoto
   
 9. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Cheki na keep left ya clock tower!
   
 10. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #10
  May 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  fundi hassani pale vingunguti mzuri sana wa kutengeneza milango. anatumia mikorosho na mizambarau:tonguez::pound:(sorry just kidding)
   
 11. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #11
  May 13, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  milango nunua hard wood,mninga au mkongo!hapa mbezi tangi bovu kuna mafund wanachonga vizur sana,ila sijui bei zao,nawaonaga wame dispaly.
   
 12. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #12
  May 14, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nashukuru
   
Loading...