Majirani zake wengine wako humu ila wamejifungia vyumbani.Ingekua poa zaidi ungeulizia majirani zako hapo nje wakuelekeze vizuri!!
Kama unatokea barabara ya kutoka mikocheniau msasani kwa mwalimu, shuka kituo kinachoitwa kanisani, kisha ingia kwa ndani utaona soko, uliza hapo hapo watakuonyesha, na humo humo kuna mahakama. Na kama unatokea mwenge au ubungo, panda gari la kawe ubungo, shuka kituo cha kanisani, ingia ndani kidogo utaona soko, kisha uliza watakuonyesha ofisi ilipo, asante, karibu kitaani kwetu, kaangalie jina lako,kama ukikosa, jua siku nyingine kuwa kazi, siyo lazima upate kwa njia ya kutuma maombi ya barua, huwa yanachelewa sana kufika, kuna njia nyingine DK 10, UNAKUWA USHAWEKWA SHORTLIST, NA KUPANGIWA KITUO. We mtu mzima ushanielewa.