Jumong alikua mvumilivu Sana na mtu mwenye subra na asie kua na papara...
Jumong aliweza kutengeneza team yake ya watu very loyal...
Kuna jamaa mmoja nimemsahau alikuaga mwizi mwizi yeye na jamaa ake bonge ivi wanapiga judo balaa jamaa yule mwembamba aka fall in love akawa CHIZI π
π
ππ
Kuna muda taeso,yangpo walikua wabamfanyia vitimbwi wanaishia ku mess up...
Una mkumbuka chef yule wa kutengeneza mapangaππ pia mzee wake na taeso alikua Ni mwerevu Sana na mtu mwenye subra na mzalendo wa dhati..