wapi hapa

Siyo Kilima Tembo pale mto wa mbu usawa wa mbuga ya Manyara! Mi naona ni hapo.
 
ingekuwa kitonga kushoto kwako unapopanda kungekuwa mlima na si bonde

Hapa ni Kitonga, hii ni sehemu ndogo ya tambarare na bonde lipo upande wa kulia kama waelekea Iringa kama kawaida. Panafanyiwa ukarabati.
 
From Nairobi all the way road tru Rift valley.
 
hapa ni mpando wa mto wa mbu kuelekea karatu
 
Pazuri kinoma ila sipajui.mwanzisha thread tupe jibu
 
au hapa karibu na lake manyara lodge, barabara hii inaelekea serengti kupitia mto wa mbuna karatu, kwenye kabanda kekundu ni parking
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…