Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
im just being curious tu bidada siku ile hakututendea haki tulivyokuwa na hamu ya kumuona na kumjua mapema loh!!Mkuu una maswali ya kimtego aisee.....
im just being curious tu bidada siku ile hakututendea haki tulivyokuwa na hamu ya kumuona na kumjua mapema loh!!Mkuu una maswali ya kimtego aisee.....
Hahaha...we jamaa ndio utanijua siku hiyo.
mkuu jibu lake sio convincing...nadhani ameshakujibu
tunataka kupari!!
im just being curious tu bidada siku ile hakututendea haki tulivyokuwa na hamu ya kumuona na kumjua mapema loh!!
i cant wait for it,yaani tukifika tu nakustua ili nipatee kumuangalia muda wote wa partyNext party unistue nikuoneshe!
hahaah labda niseme kimombo kidogo other services(needs) that will eventually rise i will take care of them me,myself and i alone ambazo ama zitakuhusu wewe peke yako au zitatuhusu wote....ila sijaelewa hapo kwenye mengineyo
hahah hata wakipaona hawana cha kufanya ....ha ha ha watu na p.o.box zaooo! Chezeya wee!! Hawajapaona bana!!
hahaah labda niseme kimombo kidogo other services(needs) that will eventually rise i will take care of them me,myself and i alone ambazo ama zitakuhusu wewe peke yako au zitatuhusu wote....
Ndo kusema nimewamis sana au? Mxxyuuuu!!! Embu nlale!!